RAIS SAMIA AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 22 Januari, 2025.

Majaji walioapa ni Jaji George Masaju, Jaji Dk. Ubena Agatho, Jaji Dk. Deo Nangela, Jaji Latifa Alhinai Mansoor.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye hafla ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 22 Januari, 2025. 


Powered by Blogger.