RAIS SAMIA ASAFIRI KWA TRENI YA SGR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Stesheni ya Dar es Salaam wakati akitokea mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya umeme ya (SGR) leo tarehe 22 Januari, 2025.


Powered by Blogger.