SPIKA TULIA USO KWA USO NA RAIS PUTIN
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson (kulia), akizungumza na Rais wa Russia, Vladimir Putin jijini St. Petersburg.
Na Mwandishi Maalumu
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Vladimir Putin jijini St. Petersburg nchini Urusi.
Dk. Tulia amekutana na Putin leo Julai 12,2024 na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika namna bora ya kuimarisha amani duniani.
Dk. Tulia amekutana na Putin leo Julai 12,2024 na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika namna bora ya kuimarisha amani duniani.