Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakiwasikiliza wateja wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika ofisi za wakala huo jijini Dar es Salaam.