RAIS SAMIA ASHIRIKI JUKWAA LA BIASHARA, UWEKEZAJI JAKARTA
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Indonesia katika mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji. Mkutano huo ulifanyika Jijini Jakarta katika mwendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini Indonesia Januari 25, 2024.Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta katika mwendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini Indonesia Januari 25, 2024.

