PROFESA KATUNDU AKUTANA NA WATENDAJI WIZARA YA MAJI

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Jamal Katundu, akiongoza kikao cha watendaji wa wizara na taasisi zake leo Septemba 5,2023 jijini Dodoma. Lengo likiwa ni ushirikishwaji katika kufanikisha masuala ya huduma ya maji katika jamii.





Powered by Blogger.