Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya mashine ya MRI katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya leo tarehe 01 Agosti 2023. (Kutoka kulia ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Mke wa Makamu wa Rais, Mama Mbonimpaye Mpango, Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, Dk. Godlove Mbwanji.