PICHA: MATUKIO MBALIMBALI MAZISHI YA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TANESCO

Matukio mbalimbali katika shughuli za Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga. Mazishi hayo yanafanyika nyumbani kwake eneo la Migungani, Bunda Mkoani Mara leo tarehe 16 Aprili, 2025.


Powered by Blogger.