DK. NCHIMBI ATUA MASASI KUELEKEA TUNDURU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara, akiwa safarini kuelekea Tunduru, mkoani Ruvuma, tayari kuanza ziara yake ya siku tano.

Uwanjani hapo, Balozi Nchimbi amepokelewa na viongozi wa chama na Serikali, wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mtwara, Saidi Nyegedi.

#CCMImara

#KaziNaUtuTunasongaMbelePamoja


Powered by Blogger.