Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akizindua safari za treni ya kisasa ya SGR na miundombinu ya reli hiyo kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma.