WIZARA YA MAJI YANG'ARA KILI MARATHON


Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro


Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Prof. Jamal Katundu pamoja na timu ya wizara hiyo ni miongoni mwa washiriki wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro (Kili International Marathon) zilizofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Timu ya Wizara ya Maji washiriki wote wamemaliza na kupata medali.

Mbio hizo zimehusisha washiriki kutoka ndani na nje ya Tanzania.





Powered by Blogger.