MWAROBAINI WA MIUNDOMBINU KOROFI SERENGETI WAPATIKANA


Na Mwandishi Wetu


Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA, Juma Kuji amefanya ziara kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na kuiagiza Menejimenti ya hifadhi hiyo kushughulikia maeneo korofi ya barabara ndani ya hifadhi hiyo.


Amesema TANAPA imejipanga kuhakikisha miundombinu yote katika Hifadhi za Taifa Tanzania inaboreshwa ili kukidhi matamanio ya wageni wanaozitembelea.


Powered by Blogger.