RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA INDONESIA IKULU DAR ES SALAAM
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo, wakati alipowasili katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam kuanza ziara ya kikazi hapa nchini.
Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo, akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ziara ya Kikazi hapa nchini.



