RAIS SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI WA DINI, WAZEE DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi maalumu katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.


Powered by Blogger.