Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ufunguzi wa Hoteli iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar tarehe 07 Januari, 2025.