DK. SAMIA AKUTANA NA RAIS WA BENKI YA DUNIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Rais wa Benki ya Dunia, Ajay Banga, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Januari, 2025.




Powered by Blogger.