RAIS SAMIA AKIFUNGA TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI MKOANI RUVUMA

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akicheza mchezo wa bao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro, wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika uwanja wa Majimaji, Songea mkoani Ruvuma.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda ya Maonesho kwenye Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.
Sehemu ya Wananchi wa Songea waliohudhuria Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma.


Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma.





Powered by Blogger.