TANZANIA, NORWAY ZAJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo.
Viongozi, wawekezaji na wafanyabiashara mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo.