TANZANIA KUPATA MABILIONI YA MCC

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Changamoto za Millenia (MCC), Alice Albright, kwa njia ya video, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Desemba 13, 2023.

Na Mwandishi Wetu

Shirika la Changamoto za Millenia (MCC) limeichagua tena Tanzania kuingia katika mpango wa kupata msaada wa fedha zitakazolenga kusaidia mabadiliko ya sera na kitaasisi nchini ili iweze kufanikiwa kupata mpango wa Compact.

Mara ya mwisho MCC iliwahi kutoa msaada wa fedha wa Dola za Kimarekani milioni 698 mwaka 2008 ambazo zilitumika hadi 2013.



Powered by Blogger.